
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza Kikao cha Kikundi Kazi cha Kitaifa
cha Mawaziri cha Nishati safi ya Kupikia, kilichofanyika katika ukumbi
wa Hazina jijini Dodoma, Machi 23, 2023. Kushoto ni Waziri wa Nishati
Januari Makamba na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Bunge na Uratibu) George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon