Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi katika eneo la kona ya Butimba wakati akitokea Igogo jijini
Mwanza.
Wananchi
wa Butimba na Mkuyuni wakifurahi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza nao katika eneo
la kona ya Butimba wakati akitokea Igogo jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage mara baada ya kufungua
kiwanda cha Victoria molders and polybags kilichopo Igogo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono mafundi wa Kiwanda cha Victoria molders and polybags
mara baada ya kutengeneza Tanki la kuhifadhia maji.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
utengenezaji wa viti vya plastiki katika kiwanda cha Victoria molders
and polybags katika eneo la Igogo jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
mfuniko uliotengenezwa katika kiwanda hicho cha Victoria molders and
polybags Igogo jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Meya ya jiji la Mwanza James Bwire mara baada ya
kufungua kiwanda cha Victoria molders and polybags Igogo jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua
kiwanda cha madawa cha Prince Pharmaceuticals kilichopo Buhongwa nje
kidogo jijini Mwanza. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon