Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amepiga magoti pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakati wakiombewa
sala na Maaskofu wa Kanisa hilo la
Waadventista Wasabato, Sala iliyokuwa ikiongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la
Kusini mwa Tanzania Marc Walwa Malekana(wa kwanza kushoto)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli
wakati wakikabidhi mifuko 400 ya Saruji itakayotumika katika ujenzi wa Kanisa
hilo la Wasabato la Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mama Navana Cable aliyeambatana
na mtoto wake Rebecca Cable ambao
familia yao imeahidi kumalizia ujenzi wa Kanisa hilo la Waadventista la
Wasabato mara baada ya Rais Dkt. Magufuli kuendesha Harambee ya Papo kwa papo
Kanisani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mhariri Mtendaji waMagazeti ya
Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz mara baada ya kuahidi kuchangia katika kanisa
hilo.
Waziri Mstaafu katika awamu
iliyopita Steven Wasira naye akichangia katika Harambee hiyo Kanisani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Ndugu Dkt. Edward Hosea mara
baada ya kuchangia katika ujenzi wa kanisa hilo la Wasabato lililopo Magomeni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshika mkono mtoto ambaye alikua
anamsalimia wakati akitoka ibadani katika kanisa hilo la Magomeni.
Waumini mbalimbali wa Kanisa hilo
wakiwa ibadani kama wanavyoonekana pichani. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amepiga magoti na mkewe Mama Janeth
Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa la Waadventista Wasabato Ushirika
wa Magomeni Mwembechai katika Ibada ya Jumamosi kanisani hapo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiimba nyimbo
katika ibada hiyo ya Jumamosi katika Kanisa la Waadventista Wasabato Ushirika
wa Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisikiliza neno
katika Ibada hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisoma neno pamoja na mkewe Mama Janeth
Magufuli kanisani hapo wakati wa Ibada ya jumamosi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa la
Waadventista la Wasabato Ushirika wa Magomeni Mwembechai kabla ya kuendesha Harambee ya Ujenzi wa
kanisa hilo ambapo zaidi ya Sh. 25milioni ziliahidiwa kukusanywa.
EmoticonEmoticon