Msajili wa Bodi ya Wahandisi, Mhandisi Patrick Barozi (kushoto)
akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuzungumzia
Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania Mwaka 2017. Kulia ni Msajili
Msaidizi wa Bodi ya Waandisi Tanzania, Mhandisi Benedict
Mukama.
Msajili wa Bodi ya Wahandisi, Mhandisi Patrick Barozi (kushoto) akionesha moja ya bidhaa iliyobuniwa na mhandisi wa Kitanzania alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Bodi ya Waandisi Tanzania, Mhandisi Benedict Mukama.
Msajili wa Bodi ya Wahandisi, Mhandisi Patrick Barozi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania Mwaka 2017. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Bodi ya Waandisi Tanzania, Mhandisi Benedict Mukama.
Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.

MAADHIMISHO
ya Siku ya Wahandisi Tanzania kwa mwaka 2017 yanatarajiwa kufanyika
mjini Dodoma huku yakiambatana na shughuli mbalimbali za uhandisi
ikiwemo kuwatambua na kuwazawadia waandisi waliofanya vizuri katika
taaluma yao. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam
Msajili wa Bodi ya Wahandisi, Mhandisi Patrick Barozi alisema miongoni
mwa shughuli ambazo zitafanyika katika siku hiyo ni pamoja na mijadala
na mada za kitaaluma, kiapo cha wahandisi wataalamu, maonesho ya
kiufundi na biashara.
m
Mhandisi Barozi alisema mada zitakazotolewa katika jumuiya ya wahandisi ni pamoja na Jukumu la Elimu kwa ajili ya maendeleo ya viwanda nchini, maendeleo ya ujuzi/ufundi, ubunifu, masoko, ujasiriamali na umuhimu, masuala ya mazingira na maendeleo ya viwanda nchini, uimara wa afya na nyingine nyingi.

Aidha
aliongeza kuwa moja ya madhumuni ya maadhimisho ya wahandisi ni
kuiwezesha jumuiya ya wahandisi kuiuonesha jamii kile ambacho wahandisi
wa kitanzania wanaweza kufanya katika kuleta maendeleo ya nchi pamoja na
ubunifu mbalimbali waliofanywa na wahandisi wa kitanzania.
Alisema
miongoni mwa taasisi ambazo zitaonesha ubunifu wa kiufundi ni pamoja na
Chuo Kikuu cha Uandisi na Teknolojia (CoET), Taasisi ya Teknolijia ya
Dar es Salaam (DIT), Chuo Kikuu cha Uhandisi na Teknolojia St. Joseph
(SJUIT), Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), Makandarasi mbalimbali, kampuni za
ushauri wa kihandisi, na nyinginezo.
"...Kama ilivyokuwa miaka ya
nyuma...Siku ya Wahandisi ni dhahiri kuwa ni tukio linalowakusanya
pamoja wahandisi wengi wa fani mbalimbali. Kwa kuzingatia hilo, Bodi
inapenda kualika mashirika, taasisi na wafanyabiashara mbalimbali
kutumia fursa hii kuonesha biadhaa zao," alisema Mhandisi Patrick Barozi
na kuongeza kuwa mada kuu ya maadhimisho ya mwaka huu ni " Mchango wa
Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati katika kuendeleza viwanda
nchini".
Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Msajili wa Bodi ya Wahandisi, Mhandisi Patrick Barozi (kushoto)
akisisitiza jambo kwa wanahabari akizungumzia maadhimisho ya asiku ya
wahandisi Tanzania 2017. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Bodi ya Waandisi
Tanzania, Mhandisi Benedict Mukama.[/caption]
______________________________ ______________________________ _______________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com

EmoticonEmoticon