Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasili katika chumba cha Mkutano kwa ajili ya kuzungumza na viongozi
wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama
wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya mazungumzo
yao.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon
Sirro, Omar Mahita(IGP Mstaafu), Said Mwema(IGP Mstaafu) pamoja na
Ernest Mangu(IGP Mstaafu) Ikulu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Omar Mahita Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Omar Mahita(IGP Mstaafu) pamoja na Said Mwema(IGP Mstaafu) Ikulu
jijini Dar es Salaam. 

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Mstaafu
Cornel Apson pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Omar Mahita Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wasasa na wastaafu wa Magereza Ikulu
jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon