Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula akimkaribisha Naibu
Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu
Luping, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es
Salaam, leo Agosti 31, 2017. Katikati ni Katibu wa NEC, Itikadi na
Uenezi Humphrey Polepole. (Picha na Bashir Nkoromo).
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula (kulia) akiongoza
mazungumzo baina yake na Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha
Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo Agosti 31, 2017. (Picha
na Bashir Nkoromo).
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Ujenzi ya IDCPC Kanda ya Afrika,
Wang Heming akipigapicha mandhari ya eneo kitakakojengwa Chuo Kikuu cha
Viongozi wa Siasa cha Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoa wa Pwani,
alipotembelea eneo hilo, jana, Agosti 30, 2017. Kushoto ni Katibu wa NEC
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela Lubinza.(Picha na Bashir
Nkoromo).
EmoticonEmoticon