Waumini wa Dini ya Kiislamu wakichukua Chakula wakati wa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania na kufanyika ofisi za Bakwata mkoa wa Kilimanjaro.
Sheakh Mkuu wa Tanzania ,Mufti Abubakary Bin Zubery akishiriki hafla ya kupata Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania
Sheakh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakary Zubery akiwa na Kaimu Mkurugenzi idara ya maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay katika hafla ya Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo.
Baadhi ya waumini wakishiriki Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania tawi la Moshi.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira (Wa pili toka kushoto) akiwa na Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi,Hajira Mmambe (wa kwanza kushoto.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akishiriki Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania tawi la Moshi
Kaimu Mkurugenzi idara ya maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay akizungumza wakati wa halfa fupi ya Futari iliyoandaliwa kwa Waislamu wa mkoa wa Kilimanjaro na Benki hiyo .
Mwenyekiti wa Halmashari ya Bakwata Taifa ,Sheakh ,Alhaji Hamis Mataka akizungumza kwa niaba ya Sheakh Mkuu wa Tanzania ,Mufti Abubakary Bin Zubery wakati wa Futari iliyoandaliwa na Azania Bank tawi la Moshi.
Mwakilishi wa wateja wa Benki ya Azania Bank ,Ibrahim Shoo akizungumza kwa niaba ya wateja wa benki hiyo.
Sheakh Mkuu wa Tanzania ,Mufti Abubakary Bin Zubery akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongzi wa Dini ya Kiislamu mara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania tawi la Moshi.
Wafanyakazi wa Benki ya Azania tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira ,wengine ni Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro ,Mhandisi Aisha Amour.na Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi ,Hajira Mmambe.
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi,Hajira Mmambe akiagana na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira mara baada a kumalizikwa kwa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo katika viwanja vya ofisi ya Bakwata mjini Moshi.
Na Dixon Busagaga a Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.
EmoticonEmoticon