Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Fadhil Soraga alipokuwa akitoa khutba baada ya Swala ya El Idd
elfitri iliyoswaliwa katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja
katika kusherehekea Sikukuu ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
aliyohudhuriwa na Viongozi wa Kitaifa na Waislamu mbali mbali wa Mkoa
wa Mjini Magharibi leo, [Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Waislamu wanawake wakiwa katika
Swala ya Eid el fitri iliyoongozwa na Sheikh Fadhil Soraga katika
Uwanja wa Maisara Suleiman Mjni Unguja leo katika Mkoa wa Mjini
Magharibi ambapo Viongozi wa Kitaifa na Waislamu mbali mbali
walihudhuria [Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Baadhi ya waislamu wanaume
waliohudhuria katika swala ya EId elfitri wakimsikiliza Katibu wa Mufti
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga aklipokuwa akitoa khutba ya
Swala ya El Idd elfitri iliyoswaliwa katika Uwanja wa Maisara Suleiman
Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi
mbali mbali baada ya Swala ya ElIdd Fitri iliyoswaliwa leo katika
uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja katika kusherekekea kumalizika
kwa Mfungo wa MweziMtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.

EmoticonEmoticon