UCHIMBAJI VISIMA VIKUBWA 20 VYA DAWASA KUKAMILIKA MWEZI UJAO

February 16, 2017

  Maji yakiruka juu baada ya kutobolewa mwamba mita  600 kutoka katika moja ya visima 20 vinavyojengwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) katika eneo la Kimbiji, Kigamboni Na Mpera Mkuranga. Mamlaka hiyo imejidhatiti kutatua uhaba wa maji kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam na viunga vyake. Uchimbaji wa visima hivyo unatarajiwa kukamilika Machi mwaka huu. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
 Maji yakiruka juu baada ya kutobolewa mwamba mita  600 kutoka katika moja ya visima 20 vinavyojengwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) katika eneo la Kimbiji, Kigamboni Na Mpera Mkuranga. Mamlaka hiyo imejidhatiti kutatua uhaba wa maji kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam na viunga vyake. Uchimbaji wa visima hivyo unatarajiwa kukamilika Machi mwaka huu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mitambo ya Kampuni ya Serengeti ikichimba kisima eneo la Kimbiji, Kigamboni Dar es Salaam.

 Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Dawasa, Romanus Mwang'ingo akielezea mikakati ya huduma za maji katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani.
 Mwang'ingo akiwa na baadhi ya watalaamu wa Kampuni ya Serengeti akielekea kukagua uchimbaji wa Kisima eneo la Kimbiji
Mwenyekiti wa Mradi wa Maji wa Ngembaki, Salum Selenge akielezea mbele ya wanahabari kuhusu mafanikio ya mradi huo kwa wajkazi wa eneo la Mbagala Kuu.
 Msemaji wa Dawasa, Nelly Mtema akifafanua mambo mbalimbali kuhusu huduma za mamlaka hiyo, wakati wanahabari walipotembelea Mradi wa Maji wa Jamii wa Ngembaki, Ra
Tamki la kuhifadhi maji katika Mradi wa Maji wa Ngembaki  Mbagala Kuu Dar es Salaam unahudumia zaidi ya wakazi 40,000
Meneja wa Mradi wa Maji wa Kipunguni B, Ukonga Dar es Salaam, Marcus Mwalugenge, akielezea kuhusu mafanikio ya mradi huo wenye tanki (chini) lenye uwezo wa kuhifadhi maji lita za ujazo 135,000

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »