Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru
wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhresa Group Mzee Said Salim
Bakhresa wakati wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha
kusindika matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya
Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhresa (kushoto) akibadilishana mawazo na maafisa waandamizi wake wakati
wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika
matunda cha Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga
mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage kwenye
sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food
Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba
6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mwenyekiti
wa makampuni ya Bakhresa Group Mzee Said Salim Bakhresa kwenye sherehe
za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products
kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe Filberto Hassan Sanga alipowasili
kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha
Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa
Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Katibu Mkuu Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru alipowasili
kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha
Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa
Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhresa
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhresa
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu (CEO) Wa Bakhresa Food Products LTD Bw. Salim Aziz Salim
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na mmoja wa Watendaji wa Bakhresa Group Bw. Aziz Salim
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na mmoja wa maafisa waandamizi Bakhresa Food Products LTD
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na mmoja wa maafisa waandamizi Bakhresa Food Products LTD
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, kamanda Boniventure Mushongi
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa mkoa wa pwani
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food
Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba
6, 2016
Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akifurahia baada ya Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuzindua
rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products
kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa
baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa
Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo
Oktoba 6, 2016

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kupata maelezo
kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein
Sufian Ally kuhusiana na hatua mbalimbali za usindikaji wa matunda katika
kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani.
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa
baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa
Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo
Oktoba 6, 2016
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufian Allyakitoa muhtasali wa shughuli wakati wa ufunguzi rasmi
wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini
Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhresa Group Mzee Said Salim Bakhresa
Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhresa Bw. Abubakar Bakhresa akisoma risala kwenye shere hizo
Mbunge wa Mkuranga Mhe abdallah Ulega akisema machache
Wafanyakazi na wageni waalikwa
Wafanyakazi na wageni waalikwa
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akisoma ripoti kuhusu viwanda na uwekezaji mkoani humo
Mshereheshaji Charles Hilary akiwa kazini
Wafanyakazi na wageni waalikwa
Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage akiongea machache kabla ya kumkaribisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo
Wafanyakazi na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe hizo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia wakati wa sherehe hizo

Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akimshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo jimboni wakati akiendelea kuhutubia

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufian Ally baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa sherehe hizo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuzindua rasmi kiwanda hicho na kisha kuhutubia wakati wa sherehe hizo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwani
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na baadhi ya viongozi wa mkoa wa pwani
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na maafisa waandamizi wa Bakhressa Group
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wafanyakazi wa Bakhressa Food Products Ltd.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam Media
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na meza kuu na wanahabari waliohudhuria na wa Azam Media
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bw. Charles Hilary wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Bw. Dunstan Tido Mhando. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon