Chama Cha Wafugaji Mkoa wa Tanga (CCWT) kinawatangazia Mkutano kwa Viongozi wote wa wilaya pamoja na wanachama ambao ni wafugaji kuhudhuria mkutano huo ambao itafanyika Desemba 18 wilayani Korogwe.
Mkutano huo utakuwa na agenda moja tu ya kuwatambulisha Viongozi wa ngazi ya wilaya na wajumbe wa halmashauri Kuu ya mkoa.
Ndugu wajumbe na Viongozi alikeni wafugaji wafike kwenye mkutano huo ambao pia kutatolewa taarifa mbalimbali Kuhusu chama ngazi ya mkoa na wilaya.
Imetolewa na Ibrahim MOLAM,
MWENYEKITI wa CCWT MKOA Tanga.
*Ufugaji Maisha yetu, kilio chetu malisho na maji*
EmoticonEmoticon