Kikosi cha Timu ya Black Sailor
iliopanda daraja mwaka huu kucheza Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa
mwakac 2015/2016, ilikubali kupigo cha mabao 4–0 dhidi ya timu ya Simba
katika mchezo wa kirafiki uliofanyika usiku huu katika uwanja wa amaan
Zanzibar.
Kikosi cha Simba kilichotoa
kipigo kwa Timu ya Black Sailor uwanja wa Amani usiku huu Simba ikiwa
Zanzibar kwa michezo ya kirafiki kuimarisha Kikosi chake kujiandaa na
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania.
Jopo la Makocha wa timu ya Simba wakifuatilia mchezo huo wa kirafiki na timu ya Black Sailor.
Mchezaji wa timu ya Simba
akikokota mpira akijiandaa kumpita beki wa timu ya Black Sailor, wakati
wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Simba
imeshinda 4–0.
Mchezaji wa timu ya Black Sailor akiwapita wachezaji wa timu ya Simba katika mchezo wa kirafiki.
Mshambuliaji wa timu ya Simba akimpita beki wa timu ya Black Sailor.
Mchezaji wa timu ya Simba Abdi
Banda akiifungia timu yake bao la kwanza kwa kichwa katika mchezo huo wa
kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Simba imeshinda bao 4–0
Wachezaji wa Simba wakishangilia
bao lao la kwanza lililofungwa na mchezaji Abdi Banda kwa kichwa baada
ya kupigwa krosi na Khamis Kiiza, mwenye jezi namba 5
Mshambuliaji wa timu ya Simba akimpita beki wa timu ya Black Sailor wakati wa mchezo wao wa kirafiki.
Mshambuliaji wa timu ya Simba Khamis Kiiza akimpita beki wa timu ya Black Sailor
Mshambuliaji wa timu ya Simba na
Black Sailor wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa kirafiki
uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu ya Simba imeshinda 4–0 mchezo
uliofanyika usiku huu.
Mshambuliaji wa timu ya Simba akizuiya mpira huku mabeki wa timu ya Black Sailor wakijiandaa kumzuiya.
Kipa wa timu ya Black Sailor akidaga mpira ikiwa moja ya ulio gplini kwa timu ya Black Sailor
Mshambuliaji wa timu ya Simba
akiruka kiunzi cha beki wa timu ya Black Sailor wakati wa mchezo wao wa
kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Simba imeshinda 4–0
Goli la pili la timu ya Simba
lililofungwa na mshambuliaji Ibrahim Hashim katika kipindi cha kwanza
cha mchezo huo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Simba
imeshunda 4–0
Beki wa Timu ya Black Sailor akiokoa mpira galini kwake
Mchezaji wa Simba akiwa juu akipiga kichwa golini kwa timu ya Black Sailor.
Beki wa timu ya Black Sailor
akioko mpira golini kwake wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika
katika uwanja wa Amaan Timu ya Simba imeshinda 4–0.
Picha na OthmanMapara.Blog. Zanzinews.com
EmoticonEmoticon