Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Subira Mgalu akikagua ujenzi wa maabara shule ya sekondati ya Ngomeni hivi karibuni.
Mkuu wa Wilaya ya Muheza Subira Mgalu akilalamika kusuasua kwa ujenzi wa maabara Shule ya Sekondari ya Ngomeni hivi karibuni.
MKUU wa wilaya ya Muheza,Subira Mgalu wa kwanza kulia akizungumza mara baada ya kukagua moja ya jengo la maabara ya sayansi lilipo wilayani humo hivi karibuni,Stoiri Picha kwa hisani ya KumekuchaBlog
EmoticonEmoticon