Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akizindua rasmi utoaji wa huduma kwa walemavu wa
kusikia (Viziwi) uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye
Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa
Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini Marekani. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimshuhudia Mwasisi na Rais wa Taasisi ya Hearing, William Austine
akimvisha mashine maalum ya kuwawezesha kusikia, mwanafunzi Amina
Athuman wa darasa la tatu katika shule ya msingi Buguruni wakati wa
uzinduzi utoaji wa huduma hiyo kwa walemavu wa kusikia (Viziwi)
uliofanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing
ya nchini Marekani. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, Mwasisi na Rais wa Taasisi ya Hearing, William
Austine, baada ya uzinduzi wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi)
uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey
Hearing ya nchini Marekani. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimvisha Nishani, Mwanafunzi wa Darasa la tatu katika Shule ya Msingi
Buguruni, mwenye ulemavu wa kusikia (kiziwi) , Amina Athuman, baada ya
kuvishwa kifaa maalum kinachomwezesha kusikia, wakati wa uzinduzi rasmi
wa utoaji wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi). Uzinduzi huo
umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing
ya nchini Marekani. Picha na OMR
Makamu
wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimvisha mwanafunzi mlemavu wa kusikia (kiziwi) Bertha Samwel wa
darasa la tatu Shule ya msingi Buguruni, Kifaa maalum cha kumwezesha
kusikia, wakati wa uzinduzi rasmi utoaji wa huduma kwa walemavu wa
kusikia (Viziwi). Uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye
Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa
Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini Marekani. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jasmhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mwasisi wa Taasisi ya Starkey Hearing, William Austine, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi walemavu wa kusikia, wakiopatia mashine maalum za kuwawezesha kusikia, baada ya kuvishwa mashine hizo wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo. Picha na OMR
Baadhi ya wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia, (Viziwi) wakisubiri kupatiwa huduma hiyo wakati wa uzinduzi.
EmoticonEmoticon