Waziri
wa Fedha, Saada Mkuya Salum (Katikati) akionyesha kitabu cha Ripoti ya
Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2011/12 wakati
akikizindua katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
jana Oktoba 29, 2014. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Ofisa kutoka Shirika
la Maendeleo la DPG, Sinikka Antila, Mwakilishi wa Benki ya Dunia,
Philippe Dongier na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Beno
Ndulu.
Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Waziri
wa Fedha, Saada Mkuya Salum akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu
cha Ripoti ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka
2011/12 wakati akikizindua katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere
Dar es Salaam jana Oktoba 29, 2014. Wanaoshuhudia ni Afisa Habari wa
Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Veronika Kazimoto (kulia) na Gavana wa Benki
Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Beno Ndulu (katikati).
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dk. Albina Chuwa akimfafanulia jambo
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum mara baada ya kufanya uzinduzi.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum akimkabidhi chapisho Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Beno Ndulu.
Wawakilishi toka Mashirika mbali mbali ya Kimataifa wakiwa katika picha ya pamoja.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, akihutubia wageni waliohudhuria
hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Ripoti ya Utafiti wa Mapato na Matumizi
ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2011/12 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu
Nyerere Dar es Salaam jana Oktoba 29, 2014.
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini.
Waandishi wa habari nao hawakuwa mstari wa nyuma.
Meza kuu ikifuatilia kwa makini.
Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu nao walifika.
Wawakilishi toka mashirika ya kimataifa nao walifika.
Furaha ya kukutana pamoja.
Picha ya Pamoja.
EmoticonEmoticon