Makamu
wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene,
wakati aliwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,
leo Oktoba 28, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Maonesho ya mwezi wa
Wanawake Wajasiliamali (MOWE). Picha na OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Masoko wa Kampuni ya GS 1, Ester
Budili, wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonesho ya
Wajasiliamali, wakati wa ufunguzi wa Maonesho hayo ya mwezi ya Wanawakae
wajasaliamali (MOWE) yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam leo. Oktoba 28, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene. Picha na OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi msaidizi wa Kampuni ya
Kazymate, Mariam Mjewa, kuhusu Jarida maalum la ‘Mchakarikaji’ wakati
alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonesho ya Wajasiliamali,
wakati wa ufunguzi wa Maonesho hayo ya mwezi ya Wanawakae wajasaliamali
(MOWE) yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
leo. Oktoba 28, 2014. Picha na OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitembelea katika mabanda ya maonesho ya Wajasiliamali, wakati wa
ufunguzi wa Maonesho hayo ya mwezi ya Wanawakae wajasaliamali (MOWE)
yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Oktoba 28, 2014. Picha na OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiangalia Chupa ya kinywaji cha Dodoma Wine wakati alipokuwa
akitembelea katika mabanda ya maonesho ya Wajasiliamali, wakati wa
ufunguzi wa Maonesho hayo ya mwezi ya Wanawakae wajasaliamali (MOWE)
yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Oktoba 28, 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiangalia Viatu (makubazi) na kusikiliza maelezo kutoka kwa Bi
Hadija Rashid wa Kikundi cha Wajasiliamali cha Vumilia Corporation
kutoka Pemba, wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonesho ya
Wajasiliamali, wakati wa ufunguzi wa Maonesho hayo ya mwezi ya
Wanawakae wajasaliamali (MOWE) yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Oktoba 28, 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiangalia bidhaa na kusikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa
Kikundi cha Wajasiliamali Walemavu cha Women Clief Mafinga, Fatina
Kangessa, wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonesho ya
Wajasiliamali, wakati wa ufunguzi wa Maonesho hayo ya mwezi ya Wanawakae
wajasaliamali (MOWE) yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam leo. Oktoba 28, 2014. Picha na OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mratibu wa Kitaifa wa Program kuendeleza
Ujasiliamali kwa Wanawake, Noreen Toroka, wakati alipokuwa akitembelea
katika mabanda ya maonesho ya Wajasiliamali, wakati wa ufunguzi wa
Maonesho hayo ya mwezi ya Wanawakae wajasaliamali (MOWE) yaliyofanyika
kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Oktoba 28,
2014. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa Maonesho ya mwezi ya Wanawakae
wajasaliamali (MOWE) yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam leo. Oktoba 28, 2014. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa vikundi
mbalimbali na wageni waalikwa katika maonesho hayo. Picha na OMR Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa vikundi
mbalimbali na wageni waalikwa katika maonesho hayo. Picha na OMR
EmoticonEmoticon