KAMA HAUKUBAHATIKA KUZIONA PICHA ZA MIRUNGI ILIYOKAMATWA MOMBO WILAYANI KOROGWE,RPC TANGA ALIWEZA KUWAONYESHA WAANDISHI

October 02, 2014

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,fresser kashai akiwaonyesha waandishi wa habari dawa za kulevya aina ya mirungi iliyokamatwa kwa wafanyabiashara wawili wakiwa kwenye usafiri wa pikipiki eneo la stendi ya mombo wilayani korogwe.






Share this

Related Posts

Previous
Next Post »