BANDA LA BODI YA UTALII AFRIKA KUSINI KWENYE MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SWAHILI EXPO(SITE)

October 02, 2014


2 (1) 
Rais wa Tanzania Mh.Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba wakati wa ufunguaji wa maonesho ya Kimataifa ya Utalii Swahili Expo jijini Dar es Salaam leo.
pix2Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba akifanya mahojiano na mwandishi wa Capital Tv Bi. Yvonne Msemembo kabla ya uzinduzi wa maonesho ya kimataifa ya Utalii Swahili Expo jijini Dar Es Salaam jana.
pix3Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba akipozi kwenye picha ya pamoja na warembo(ushers) wanaosimamia banda la utalii la Afrika kusini kwenye maonesho ya kimataifa ya Swahili Expo Mlimani City jijini Dar Es Salaam leo.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »