DC DENDEGO AFUNGUA KIKAO CHA MAELEKEZO KUHUSU UGONJWA WA EBOLA NA DHANA YA USHIRIKIANO BAINA YA SEKTA BINAFSI NA ZILE ZA UMMA LEO JIJINI TANGA.

October 02, 2014
 MKUU wa wilaya ya Tanga,Halima Dendego akizungumza jana wakati akifungua kikao cha maelekezo kuhusu ugonjwa wa ebola na dhana ya ushirikiano baina ya sekta binafsi na zile za umma wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Dr.Asha na anayefuatia ni Mtendaji Mkuu wa Chama cha Watoa huduma binafasi za afya nchini(APHFTA) Dr.Samweli Ogillo,
 Baadhi ya washiriki wa kikao cha maelekezo kuhusu ugonjwa wa ebola na dhana ya ushirikiano baina ya sekta binafsi na zile za umma wakifuatilia mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiwasilishwa jana,

Mtaalamu wa Afya akiwa amevalia mavazi ya kujikinga na ugonjwa huo wakati watoa huduma wakiwahudumia wagonjwa wa ebbola jana wakati wa  kikao cha maelekezo kuhusu ugonjwa wa ebola na dhana ya ushirikiano baina ya sekta binafsi na zile za umma

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »