Wahitimu
wa fani mbali mbali wa Chuo hicho wakimsikiliza mgeni rasmi (hayupo
pichani) baada ya kuwatunuku stashahada katika mahafali ya 21.
Wageni waalikwa walioshiriki mahafali ya 21 ya Chuo cha Taaluma za Afya
Zanzibar wakifuatilia maadhimisho hayo yaliyofanyika Chuoni, Mbweni.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na
wahitimu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar katika Mahafali
ya 21 yaliyofanyika Chuoni Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Wa
kwanza (kulia) ni Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman na wa kwanza
(kushoto) Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho Dkt. Abdalla Ismail
Kanduru. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
EmoticonEmoticon