DC DENDEGO AWAFUNDA WEVYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA,AWATAKA KUWA MABALOZI WAZURI WA VYANZO VYA MAJI.

March 20, 2014
MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO AMBAYE ALIKUWA MGENI RASMI KWENYE SEMINA YA SIKU MOJA YA WAHESHIMIWA MWENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA KWENYE JIJI LA TANGA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA MARA BAADA YA KUIFUNGUA JANA KUSHOTO NI MKURUGENZI MTENDAJI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA(TANGA UWASA) MHANDISI JOSHUA MGEYEKWA

KAIMU MHANDISI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA,FARAJI NYONI AKIJIBUA MASWALI MBALIMBALI YALIYOULIZWA NA WAHESHIMIWA WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA KWENYE HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA WALIOHUDHURIA SEMINA YA SIKU MOJA ILIYOFANYIKA KIJIJI CHA MABAYANI PANDE KARIBU NA ENO LA BWAWA LA MABAYANI LINALOHIFADHI MAJI.

ENEO LA BWAWA LA MABAYANI JIJINI TANGA LINAVYOONEKANA JANA WAKATI WAHESHIMIWA WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WALIPOLITEMBELEA WAKIWA KWENYE SEMINA YA SIKU MOJA ILIYOANDALIWA NA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA(TANGA UWASA)


MAJI YALITIRIRIKA KUTOKA BWAWA LA MABAYANI JIJINI TANGA NA KUINGIA MTO ZIGI




Share this

Related Posts

Previous
Next Post »