TANGA UWASA YAWAFUNDA WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA JIJINI TANGA.

March 19, 2014
MKURUGENZI MTENDAJI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAZINGIRA JIJINI TANGA MHANDISI JOSHUA MGEYEKWA AKIZUNGUMZA NA WENYEVITI WA MITAA MBALIMBALI  KWENYE JIJINI TANGA KATIKA SEMINA ILIYOANDALIWA NA MAMLAKA HIYO NA KUFANYIKA KWENYE KATA YA  PANDA MABAYANI LEO.

KATIKA NI MKURUNGENZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAZINGIRA JIJINI TANGA(TANGA UWASA)MHANDISI JOSHUA MGEYEKWA  AKIFURAHISI JAMBO KWENYE SEMINA HIYO KULIA NI MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO NA KUSHOTO NI AFISA TAWALA WILAYA YA TANGA.

MENEJA WA FEDHA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAZINGIRA JIJINI TANGA AGNESS LUKINDO AKITOA MADA KWENYE SEMINA YA WENYEVITI WA MITAA JIJINI TANGA ILIYOFANYIKA LEO ENEO LA CHANZO CHA MAJI MABAWANI JIJINI TANGA.

WA KWANZA KULIA NI MWENYEKITI WA MTAA WA MSAMBWENI ZUHURU AKIFUATILIA KWA UMAKINI MAKABRASHA KWENYE SEMINA HIYO LEO

MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAZINGIRA JIJINI TANGA,MHANDISI JOSHUA MGEYEKWA AKIMSIKILIZA KWA UMAKINI MSIMAMIZI WA KITUO CHA MOYE AMBAPO NDIO MAJI YANAPOANZIA AMBAYE HAYUPO PICHANI AKIWA SAMBAMBA NA BAADHI YA WENYEVITI WA MITAA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI JIJINI TANGA.

HAPA MSIMAMIZI WA KITUO CHA KUSAFISHIA MAJI MOYE AKISISITIZA JAMBO KWA WENYEVITI WALIOHUDHURIA SEMINA HIYO WA KWANZA KULIA ALIYEVAA IJABU NI PRA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAZINGIRA JIJINI TANGA,MWANA UWANI BAWAZIRI AKIFUATILIA KWA UMAKINI








PRA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAZINGIRA JIJINI TANGA,MWANA UWANI BAWAZIRI AKIFUATILIA KWA UMAKINI MADA ZILIZOKUWA ZIKITOLEWA NA WAWAZESHAJI KWENYE MAFUNZO YA WENYEVITI WA MITAA KUTOKA MAENEO MBALIMBALI JIJINI TANGA.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »