![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwavisha Bawa la Urubani wahitimu wa Mafunzo ya Urubani wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Wakati wa hafla ya kuwatunuku kamisheni katika cheo cha Luteni Usu Maafisa wapya katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha leo Novemba 21,2026. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi kuwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika cheo cha Luteni Usu kwenye sherehe zilizofanyika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha leo Novemba 21,2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa akitoka matukio mbalimbali alipowatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 07/23 Shahada ya Sayansi ya kijeshi na Kundi la 73/25-Regular pamoja na Mahafali ya saba ya kijeshi Kwa kundi la 07/23 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha leo Novemba 21,2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 07/23 Shahada ya Sayansi ya kijeshi na Kundi la 73/25-Regular pamoja na Mahafali ya saba ya kijeshi Kwa kundi la 07/23 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha leo Novemba 21,2026.

Matukio mbali mbali ya Picha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 07/23 Shahada ya Sayansi ya kijeshi na Kundi la 73/25-Regular pamoja na Mahafali ya saba ya kijeshi Kwa kundi la 07/23 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha leo Novemba 21,2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiimba Wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya kutunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 07/23 Shahada ya Sayansi ya kijeshi na Kundi la 73/25-Regular pamoja na Mahafali ya saba ya kijeshi Kwa kundi la 07/23 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha leo Novemba 21,2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride wakati wa hafla ya kutunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 07/23 Shahada ya Sayansi ya kijeshi na Kundi la 73/25-Regular pamoja na Mahafali ya saba ya kijeshi Kwa kundi la 07/23 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha leo Novemba 21,2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi zawadi kwa Maafisa wanafunzi waliofanya Vizuri wakati wa hafla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi Kundi la 07/23 Shahada ya Sayansi ya kijeshi na Kundi la 73/25-Regular pamoja na Mahafali ya saba ya kijeshi Kwa kundi la 07/23 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha leo Novemba 21,2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiingia uwanjani kwa gari Maalumu ya Jeshi wakati wa hafla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi Kundi la 07/23 Shahada ya Sayansi ya kijeshi na Kundi la 73/25-Regular pamoja na Mahafali ya saba ya kijeshi Kwa kundi la 07/23 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha leo Novemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Maafisa Wanafunzi wapya Kundi la 07/23 Shahada ya Sayansi ya kijeshi na Kundi la 73/25-Regular katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha leo Novemba 21,2026.

EmoticonEmoticon