Rais Mstaafu wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume alipokata utepe kuashiria
Uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra
shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.kulia yake ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum
Mohammed na kushoto ni Mwakilishi wa Benki ya Dunia Andre Bald.
Rais Mstaafu wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume akiangalia Ramani na kupata
maelezo kutoka kwa Mratibu wa Mradi wa Huduma za Jamii
Mijini(ZUSP)Makame Ali Makame kuhusiana na Ujenzi wa Ukuta wa Baharini
katika uzinduzi wa ukuta huo Mizingani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra
shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume akikunjuwa Kitambaa
kuashiria Uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani Mjini Zanzibar.Ikiwa
ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume katikati akitembea kwa
miguu baada ya uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani kuelekea katika
Bustani ya Forodhani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za
Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wageni waalikwa
waliohudhuria katika uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani sherehe
zilizofanyika katika Bustani ya Forodhani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni
shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Mwakilishi wa Benki ya Dunia Andre
Bald akitoa maelezo kuhusiana na ujenzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani
sherehe zilizofanyika katika Bustani ya Forodhani Mjini Zanzibar.Ikiwa
ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango
Dkt,Khalid Salum Mohammed akitoa hotuba khusiana na Ujenzi wa Ukuta wa
Baharini Mizingani pamoja na miradi mbalimbali ya serikali katika katika
uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani sherehe zilizofanyika katika
Bustani ya Forodhani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za
Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume akisisitiza jambo alipotoa
hotuba ya Uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani sherehe zilizofanyika
katika Bustani ya Forodhani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za
Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kushoto yake
ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohammed na kulia ni
Mwakilishi wa Benki ya Dunia Andre Bald.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.