NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA ATEMBELEA MAPANGO YA AMBONI

January 07, 2018

1
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiwa anaingia katika mapango ya Amboni, wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea  mapango hayo mwishoni mwa wiki.
2
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga  ( kushoto )  akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Bi. Zena Said  wakipatiwa maelezo na  Mhifadhi Mkuu wa Kituo cha mapango ya Amboni, Jumanne Mabule, wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea  mapango hayo mwishoni mwa wiki.  
3
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiwa anatoka katika mapango ya Amboni, wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea  mapango hayo mwishoni mwa wiki.
4
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga  ( kushoto )  akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Bi. Zena Said wakioneshwa mchoro ambao ni mfano wa  mnyama chui uliotokea baada ya mabadiliko katika miamba  ndani ya mapango ya Amboni na  Mhifadhi Mkuu wa Kituo hicho,  Jumanne Mabule, wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea kwenye mapango hayo mwishoni mwa wiki.
5
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga( katikati) akiwa anatembezwa ndani ya mapango ya Amboni na Mhifadhi Mkuu wa Kituo hicho, Jumanne Mabule, wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea kwenye mapango hayo mwishoni mwa wiki.
6
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga  ( wa pili kulia )   akioneshwa mchoro ambao ni mfano  wa uwanja wa ndege uliotokea baada ya mabadiliko katika miamba  ndani ya mapango ya Amboni na  Mhifadhi Mkuu wa Kituo hicho,  Jumanne Mabule, wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea  mapango hayo mwishoni mwa wiki.
7
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kutembelea  mapango ya Amboni  wakati  alipotembelea mapango hayo mwishoni mwa wiki. 
Picha na Lusungu Helela-MNRT

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »