Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wanachi wa Wilaya ya Misenyi(hawaonekani
pichani) wakati akielekea katika kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar
kilichopo Wilayani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiandika wakati wananchi wa Misenyi walipokuwa wakiwasilisha Kero zao
mara baada ya kusimama wakati akiwa njiani kuelekea katika Kiwanda cha
Sukari cha Kagera Sugar kilichopo wialayani humo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akipokewa kwa shangwe na Mamia ya wananchi wa Misenyi mara baada ya
kuwasili Wialayani hapo akitokea Bukoba mjini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasikiliza wananchi wa Misenyi wakati wakitoa kero zao mbalimbali
mara baada ya kuwasili.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akizungumza katika eneo hilo la Misenyi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera
Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu wa pili kutoka kushoto , Waziri wa
Kilimo Dkt. Charles Tizeba wa kwanza (kulia) wakisikiliza mtaalamu wa
Kilimo (haonekani pichani) aliyekuwa akielezea mambo mbalimbali katika
mashamba ya miwa katika Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera Sugar
kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia Shamba la miwa la Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera Sugar
kilichopo Misenyi mkoani Kagera
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua Mitambo ya kuchujia na kuvutia maji kwa ajili ya Mashamba ya
Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar, mitambo hiyo ipo pembezoni mwa Mto
Kagera katika Wilaya ya Misenyi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua mbegu na mbolea inayotumika katika mashamba hayo ya miwa ya
Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja katika Mashamba hayo ya miwa na viongozi wa
Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera Sugar, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja
Jenerali Mstaafu Salum Kijuu wa kwanza kulia akifatiwa na Waziri wa
Kilimo Dkt. Charles Tizeba na Waziri wa Viwanda Charles Mwijage wa
kwanza kulia.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wafanyakazi (Vibarua) wanaofanyakazi katika
Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar wakati akielekea kiwandani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua baadhi ya mashamba hayo ya miwa ya Kiwanda cha Kagera Sugar
kilichopo Wilayani Misenyi mkoani Kagera. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon