Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Taarifa ya Kamati Maalumu ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Almasi kutoka
kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Tanzanite
kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipitia
Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Almasi na
Tanzanite mara baada ya kukabidhiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
mara baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalumu ya Bunge ya Kuchunguza
Madini ya Almasi na Tanzanite Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi
Taarifa hiyo kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa
mkono Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kumkabidhi
Taarifa hiyo ambayo aliwakabidhi pia viongozi wote wa Vyombo vya Ulinzi
na Usalama.
Shekhe
wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum akipiga makofi wakati Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa
akihutubia mara baada ya kukabidhiwa Taarifa hiyo ya Uchunguzi.
Wabunge
wa Kamati Maalum ya Uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi na
Tanzanite nao wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia mara baada ya
kukabidhiwa Taarifa hiyo ya Uchunguzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa
Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan
Zungu(wakwanza kulia waliokaa), Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge
iliyochunguza biashara ya Tanzanite Doto Biteko(wakwanza kushoto
waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati hizo za
uchunguzi pamoja na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa
Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan
Zungu(wakwanza kulia waliokaa), Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge
iliyochunguza biashara ya Tanzanite Doto Biteko(wakwanza kushoto
waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati hizo za
uchunguzi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mmoja wa Wajumbe wa Kamati hiyo ya Uchunguzi wa Madini
David Silinde Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon