Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Philip I.Mpango mara alipowasili Zanzibar Beach Resort
Hotel Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi
katika Ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la Umoja wa Nchi
za Umoja wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Udhibiti wa
Biashara ya Fedha Haramu,uliofanyika leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar Dkt. Khalid Salum Mohamed mara alipowasili Zanzibar Beach
Resort Hotel Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini
Magharibi katika Ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la
Umoja wa Nchi za Umoja wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa
Udhibiti wa Biashara ya Fedha Haramu,uliofanyika leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali wajkati wimbo wa Taifa Ukipigwa
katika Ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la Umoja wa
Nchi za Umoja wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Udhibiti wa
Biashara ya Fedha Haramu,uliofanyika leo katika ukumbi wa Zanzibar Beach
Resort Hotel Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini
Magharibi.
Washiriki
wa Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la Umoja wa Nchi za Umoja wa
Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Udhibiti wa Biashara ya Fedha
Haramu,kutoka Nchini South Afrika wakiwa katika ufunguzi wa mkutano huo
uliofanyika leo katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel Mbweni Nje
ya Mji wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi,mgeni rasmi akiwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani)
Washiriki
wa Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la Umoja wa Nchi za Umoja wa
Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Udhibiti wa Biashara ya Fedha
Haramu,kutoka Nchini SWAZILAND wakiwa katika ufunguzi wa mkutano huo
uliofanyika leo katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel Mbweni Nje
ya Mji wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi,mgeni rasmi akiwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani).
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la Umoja wa Nchi za
Umoja wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Udhibiti wa Biashara
ya Fedha Haramu,wakiwa katika ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika leo
katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel Mbweni Nje ya Mji wa
Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi,mgeni rasmi akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani).
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la Umoja wa Nchi za
Umoja wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Udhibiti wa Biashara
ya Fedha Haramu,wakiwa katika ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika leo
katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel Mbweni Nje ya Mji wa
Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi,mgeni rasmi akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani).
Washiriki
wa Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la Umoja wa Nchi za Umoja wa
Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Udhibiti wa Biashara ya Fedha
Haramu,kutoka Zanzibar Nchini Tanzania wakiwa katika ufunguzi wa
mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel
Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi,mgeni
rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani).
Washiriki
wa Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la Umoja wa Nchi za Umoja wa
Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Udhibiti wa Biashara ya Fedha
Haramu,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba
ya ufunguzi wa Mkutano huo leo katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort
Hotel Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa
Baraza la Mawaziri la Umoja wa Nchi za Umoja wa Nchi za Mashariki na
Kusini mwa Afrika wa Udhibiti wa Biashara ya Fedha Haramu,uliofanyika
leo katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel Mbweni Nje ya Mji wa
Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa
Baraza la Mawaziri la Umoja wa Nchi za Umoja wa Nchi za Mashariki na
Kusini mwa Afrika wa Udhibiti wa Biashara ya Fedha Haramu,uliofanyika
leo katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel Mbweni Nje ya Mji wa
Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi (Picha na Ikulu)
EmoticonEmoticon