Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Benedict Mashiba kuwa
Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Tanzania nchini Malawi
Benedict Mashiba akila kiapo cha uadilifu kwa Viongozi mara baada ya
kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Malawi
Benedict Mashiba mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za utambulisho
kutoka kwa Balozi wa Vietnam hapa nchini Nguyeni Kim Doahn, Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Balozi wa Vietnam hapa nchini
Nguyeni Kim Doahn akipigiwa wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili Ikulu
kwa ajili ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Vietnam
hapa nchini Nguyeni Kim Doahn mara baada ya kumaliza mazungumzo pamoja
na kupokea Hati za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Vietnam hapa nchini
Nguyeni Kim Doahn katikati akipigiwa wimbo wa Taifa mara baada ya
kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Balozi wa Indonesia hapa nchini
Prof. Ratlan Pardede(katikati ) akipigiwa wimbo wa Taifa mara baada ya
kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho
kutoka kwa Balozi wa Indonesia hapa nchini Prof. Ratlan Pardede, Ikulu
jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Balozi wa Indonesia hapa nchini Prof. Ratlan Pardede, Ikulu jijini Dar
es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho
kutoka kwa Balozi wa Vatican hapa nchini Mwadhama Askofu Mkuu Marek
Solcynski, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Vatican
hapa nchini Mwadhama Askofu Mkuu Marek Solcynski mara baada ya kupokea
Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini.
Balozi wa Ujerumani hapa nchini
Dkt. Detlef Wachter akipigiwa wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili
Ikulu kwa ajili ya kukabidhi Hati zake Utambulisho.
Balozi wa Ujerumani hapa nchini
Dkt. Detlef Wachter akijitambulisha kabla ya kuwasilisha Hati zake za
Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati za utamblisho
kutoka kwa Blozi wa Ujerumani nchini Tanzania Dkt. Detlef Wachter Ikulu
jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi
wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Wachter mara baada ya kupokea
hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za utambulisho
kutoka kwa Balozi wa Uganda hapa nchini Richard Tumisiime Kabonero Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma ya Brass Bendi ya
Jeshi la Polisi ambayo ilifika Ikulu kwa ajili ya mapokezi ya Mabalozi
mbalimbali kutoka nje ya nchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Brass Bendi ya Jeshi la Polisi Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA
IKULU
EmoticonEmoticon