Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias
Andengenye, akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya
Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto,
ajali, mafuriko, tetemeko la ardhi na majanga mengine. Wengine ni
Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na
kuzuia Uhalifu, ajali (UAC), Elliot Andrew na Naibu Kamishna Rasilimali
Watu wa Jeshi hilo, Billy Mwakatage (kulia). Uzinduzi huo umefanyika leo
Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias
Andengenye, akikabidhiwa kipeperushi na Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo
ya Kiserikali inayojishughulisha na kuzuia Uhalifu, ajali (UAC), Elliot
Andrew(kushoto), wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114,
itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali,
mafuriko, tetemeko la ardhi na majanga mengine. Kulia ni Naibu Kamishna
Rasilimali Watu wa Jeshi hilo, Billy Mwakatage. Uzinduzi huo umefanyika
leo Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias
Andengenye, akionyesha kipeperushi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya
Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga
ya moto, ajali, mafuriko, tetemeko la ardhi na majanga mengine. Wengine
ni Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na
kuzuia Uhalifu, ajali S(UAC), Elliot Andrew na Naibu Kamishna
Rasilimali Watu wa Jeshi wa jeshi hilo, Billy Mwakatage(kulia).Uzinduzi
huo umefanyika leo Makao Makuu ya Jeshi,jijini Dar es Salaam.Picha na
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias
Andengenye, akionyesha mfano wa uwekaji stika yenye Namba ya Dharura
114, itakayobandikwa kwenye vyombo vya usafiri na maeneo mengine kwa
ajili ya kutumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali,
mafuriko, tetemeko la ardhi na majanga mengine. Uzinduzi huo umefanyika
leo, Makao Makuu ya Jeshi, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji.
Maafisa
wa Jeshi waliohudhuria Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114,
itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali,
mafuriko, tetemeko la ardhi na majanga mengine, wakimsikiliza Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias Andengenye
(hayupo pichani) wakati wa Mkutano na Waandishi wa Vyombo vya Habari.
Uzinduzi huo umefanyika leo, Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es
Salaam. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uokoaji, Thobias Andengenye
(watano kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Waandamizi wa
Jeshi hilo, Viongozi na Wadau walioshirikiana na Jeshi hilo kuwezesha
Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi
kutoa Taarifa za majanga ya moto, ajali, mafuriko, tetemeko la ardhi na
majanga mengine. Uzinduzi huo umefanyika leo, Makao Makuu ya Jeshi,
jijini Dar es Salaam.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, MAKAO MAKUU
EmoticonEmoticon