Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya
Dunia Bella Bird wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi
mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo la Bandari
hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia
Bella Bird mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa
Bandari ya Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kuweka jiwe la msingi
mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Baadhi ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali
wakifatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli kabla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa
Bandari ya Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia
Bella Bird mara baada ya kutoa hotuba yake kabla ya uwekaji wa jiwe
la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati Mkurugenzi Mkazi wa Benki
ya Dunia Bella Bird alipokuwa akisoma hotuba yake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki
ya Dunia Bella Bird wakati wakitazama kipeperushi ya maelezo ya Mradi
wa uboreshaji wa Bandari jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa Makame Mbarawa, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird
pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili
katika eneo la Bandari jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na
Banana Zorro, Mrisho Mpoto, pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia
Bella Bird mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi Uboreshaji wa Bandari
ya Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma mara baada ya tukio la uwekaji
wa jiwe la msingi Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Picha namba 17. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi wengine waliosimama
wakati Banana Zorro pamoja na Mrisho Mpoto walipokuwa wakiimbawimbo
wa Aamka Tufanye kazi kabla ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi Uboreshaji
wa Bandari ya Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon