RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MWANZA AWASALIMIA WAKAZI WA KONA YA BWIRU, GHANA NA AINGIA UWANJA WA NYAMAGANA KUANGALIA MECHI

July 04, 2017

unnamed
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndeg ewa Mwanza.
1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Viongozi wa Dini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ngoma za asili kutoka kikundi cha Bujora mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza
3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa sala na Viongozi mbalimbali wa dini kutoka Kanda ya ziwa mara baada ya kuwasili mkoani Mwanza.
4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi katikati ya jiji la Mwanza waliokusanyika kumpokea.
6 7 8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinunua Karanga kutoka kwa Mmachinga anayefanyabiashara katikati ya jiji la Mwanza.
9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinunua Karanga kutoka kwa Mmachinga anayefanyabiashara katikati ya jiji la Mwanza.
10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi wakatikati ya jiji la Mwanza wakati akielekea Uwanjawa Nyamagana kuangalia mechi kati ya Buhongwa United na Timu ya Nyamwaga.
11
Rais waJ amhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Mashabiki waliohudhuria mechi kati ya Buhongwa United naTimu ya Nyamwag akatika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.
12
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Mashabiki wa mpira wa miguu wakati akitoka katikau wanja wa Nyamaga na jijiniMwanza.
nyama1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mpira pamoja na Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela katika uwanja wa Nyamagana ambapo timu ya Buhongwa United ilikuwa ikicheza na Nyamwaga FC.
nyama2
Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Wachezaji wa Buhongwa Fc mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Nyamagana.
PICHA NA IKULU

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »