Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine
akifungua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo Wilayani
Sengerema. Mradi huo unatarajiwa kuhudumia wakazi wa Sengereza kwa asilimia 100
tofauti na asilimia 33 ya awali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya mradi huo mkubwa wa maji kutoka
kwa Mhandisi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Antony Sanga wakati
alipoanza ukaguzi wa mradi huo kabla ya kuufungua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Maji Eng. Gerson Lwenge wakati akielekea kukagua
mradi wa maji katika kijiji cha Nyamazugo Wilayani Sengerema. Mradi huo
unatarajiwa kuhudumia wakazi wa Sengereza kwa asilimia 100 tofauti na asilimia
33 ya awali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya kufungua mradi huo wa maji
Wilayani Sengerema.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimongeza Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa Kada
maarufu wa CHADEMA kanda ya Ziwa Hamis Tabasamu mara baada ya kuzindua mradi
mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo, Sengerema mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono na waandishi wa habari mbalimbali wa mkoani Mwanza ambao walishiriki
katika kazi ya ufunguzi wa mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo,
Sengerema mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya amani ya Mkoa wa
Mwanza Sheikh Hassan Kabeke mara baada ya kufungua mradi huo wa maji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Sengerema mjini wakati
akielekea Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa Kada
maarufu wa CHADEMA kanda ya Ziwa Hamis Tabasamu wakati akihutubia wakazi wa
Sengerema mara mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha
Nyamazugo, Sengerema mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanafunzi wa Sekondari mara baada ya
kuhutubia wakazi wa Sengerema vijijini wakati akielekea kuzindua mradi wa Maji.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi
wa Geita mara baada ya kuwasili mkoani humo. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon