Mwenyekiti wa CASFETA shule ya sekondari ya Wavulana Galanosi na Makamu Mwenyekiti wa wilaya,Anderson Mtalemwa akitoa neno kwenye sherehe hizo mapema leo |
Wanafunzi wa shule ya Sekondari St,Christina wakiimba nyimbo za kuwaaga wenzao kwenye umoja huo
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Masechu wakiimba kwenye sherehe hizo
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Wavulana ya Galanosi wakiimba kwenye Shehere hizo
Wanafunzi wa shule ya Sekondari St,Christina wakiimba nyimbo za kuwaaga wenzao kwenye umoja huo
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Galanosi wakiendelea kutoa burudani wakati wa sherehe hizo
Mama Hosea akifuatilia matukio mbalimbali kwenye sherehe hizo leo
Muonekana wa wanafunzi na wageni waalikwa wakifuatilia matukio mbalimbali
Muonekana wa wanafunzi na wageni waalikwa wakifuatilia matukio mbalimbali
Muonekana wa wanafunzi na wageni waalikwa wakifuatilia matukio mbalimbali
Wanafunzi wa shule ya shule ya Sekondari St.Christina wakitumbuiza kwenye sherehe hizo
Wanafunzi wa shule ya shule ya Sekondari St.Christina wakitumbuiza kwenye sherehe hizo
Mlezi wa wanafunzi Umoja wa wanafunzi wajumbe wa Kristo kutoka Shule ya Wasichana ya St.Christina Mwl Boaz Lazaro wa pili kutoka kushoto akiwaongoza wanafunzi hao kuingia ukumbini
Wanafunzi wakiingia ukumbini
Mlezi wa wanafunzi Umoja wa wanafunzi wajumbe wa Kristo kutoka Shule ya Wasichana ya St.Christina Mwl Boaz Lazaro wa pili kutoka kushoto akiwaongoza wanafunzi hao kuingia ukumbini |
Wanafunzi wakifanyiwa maombi kabla ya kuanza sherehe hizo ambazo zimefanyika leo kwa ajili ya kuwaaga wanafunzi wanaohitmu kidato cha sita |
Wanafunzi wakiendelea na maigizo |
EmoticonEmoticon