Maaskari wa Vikosi mbali mbali
vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja
katika sherehe za Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa mwaka
2017yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Maaskari wa Vikosi mbali mbali
vya Ulinzi na Usalama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati
alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa
mwaka 2017 katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika sherehe
zilizofanyika leo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) wakiangalia ratiba Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa
mwaka 2017 (BAMATA) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali
Venance S. Mabeyo (kushoto) katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja
katika sherehe zilizofanyika leo (kulia) Waziri wa Ulinzi Majeshi ya
Kujenga Taifa Mhe,Dkt.Hussein Mwinyi.
Kikosi cha
Maaskari Kanda ya JKT wakipita mbele ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na kutoa heshima
wakati ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 ya mwaka 2017
(BAMATA)katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika sherehe
zilizofanyika leo.
Maaskari
wakiimba wimbo maalum wakati wa ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 ya
mwaka 2017 (BAMATA)katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika
sherehe zilizofanyika leo.
Kikosi
cha Maaskari Jeshi la Wananchi JWTZ Kanda ya Ngome wakipita mbele ya
Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein na kutoa heshima wakati ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya
17 ya mwaka 2017 (BAMATA)katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja
katika sherehe zilizofanyika leo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa
mwaka 2017 leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,Mkoa wa
Mjini Magharibi.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa
mwaka 2017 leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,Mkoa wa
Mjini Magharibi, [Picha na Ikulu] 18 /03/2017.
EmoticonEmoticon