Mwenyekiti
wa CCM, Rais John Magufuli akipokewa na Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman
Kinana alipowasili Makao Makuu ya CCM, mjiniDodoma leo kuendesha kikao
cha Kamati Kuu ya CCM.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Maguguli akiwana Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara
Philip Mangula (kushoto) kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kuanza
kikaocha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu
wa CCM-Zanzibar Vuai Ali Vuai na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa
Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulraman Kinana akishauriana jambo na Naibu Katibu Mkuu
wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kabla ya kuanza kikao cha Kamati Kuu ya
CCM mjini Dodoma leo. Kulia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Balozi Seif Ali Idi
Mwenyekiti
wa CCM, Rais John Magufuli akiwa na viongozi wengine wa Chama wakati
wakisubiri kuingia ukumbini kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM,leo mjini
Dodoma
Baadhi ya Maofisa wa Chama wakiwa ukumbini wakati wa kikao hicho
Wajumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Stephen Wasira na William Lukuvi wakipitia
makabrasha kabla ya kuanza kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo
Wajumbe wa Sekretarieti wakiwa ukumbi kusubiri kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo mjini Dodoma
Wajumbe
wa Kamati Kuu Jason Rweikiza (kushoto) na Alhaji Adan Kimbisa
wakibadlishana mawazokabla ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM kuanza mjini
Dodoma leo
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Hussein Mwinyi na Jerry Silaa, wakibadilishana ma wazokabla ya kikao hicho kuanza
Wajumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo na Shamsi Vuai Nahodha
wakibadilishana mawazo kabla ya kikao hicho kuanza leo mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiingia ukumbini
Mwenyekiti
wa CCM Rais Dk. John Magufuli akiwasili ukumbini kuendesha kikao cha
Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa
CCM-Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM Bara PhilipMangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akisalimiana na Spika wa
Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulidikabla ya kuanza kikao
hicho. Katikati ni Spika wa Bunge Job Ndugai
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa utangulizi kumpa nafasi
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk JohnMagufulikufungua na kuongoza kikaocha
Kamati Kuu ya CCM leo mjini Dodoma. Kushoto ni Dk. Shein na Kulia ni
Mangula.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye kikao hicho. Kushoto ni Katibu
wa NEC, Oganaizesheni Mohamed Seif Khatib na Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Vuai Ali Vuai
Mwenyekiti wa CCM,Rais Dk John Magufuli akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo mjini Dodoma
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk John Magufuli na viongozi wenzake wa meza kuu,
wakifurahia jambo wakati wa kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM leo mjini
Dodoma. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
EmoticonEmoticon