Baadhi ya wazee waliofanyiwa upasuaji wakisubiri zoezi la kupatiwa dawa na miwani
Baadhi ya wananchi waliofanyiwa upasuaji wakisubiri zoezi la kupatiwa dawa na miwani
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa akizungumza wakati wa zoezi hilo la upasuaji
MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa zoezi la upasuaji huo.MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa tatu kutoka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na wazee waliojitokeza kupatiwa huduma za upasuaji wa macho waliokuwa na matatizo ya mtoto wa Jicho
MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili kulia akimkabidhi msaada wa vyakula mbalimbali mwakilishi wa wazee waliofanyiwa upasuaji wa macho ili viweze kuwasaidia baada ya kumalizika upasuaji huo watakapokwenda majumbani mwao wanaoshuhudia kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa ,Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo,Mathew Mganga wa kwanza kushoto ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza
Desderia Haule
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa akipongezwa na mwakilishi wa wazee hao mara baada ya Mkuu wa wilaya hiyo,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo wa pili kulia kuwakabidhi vyakula vitakavyowasaidia watakapotoka kwenye matibabu hayo na kurejea makwao
EmoticonEmoticon