Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akikagua gwaride
wakati wa hafla ya utoaji wa Kamisheni kwa Maofisa wa Jeshi la Ulinzi
waliohitimu Chuo cha Mafunzo kwa Maofisa wa Jeshi kilichopo Monduli
mkoani Arusha, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es
Salaam leo. Takribani Maofisa 165 wamepewa Kamisheni kati yao Wanaume ni
143 na wanawake ni 22.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akitoa Kamisheni
kwa Maofisa wa Jeshi la Ulinzi Tanzania waliohitimu Chuo cha Mafunzo
kwa Maofisa wa Jeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha, hafla hiyo
imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Takribani
Maofisa 165 wamepewa Kamisheni kati yao Wanaume ni 143 na wanawake ni
22. Katika wahitimu wa jumla walikuwa 180 ambapo 15 ni kutoka nchi
jirani za Uganda(2), Burundi(5), Rwanda(3) na Kenya(5).
Maofisa
wapya wa Jeshi la Ulinzi Tanzania wakivalishana vyeo mara baada ya
kupewa Kamisheni na Rais John Pombe Magufuli katika hafla iliyofanyika
katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Takribani Maofisa 165
wamepewa Kamisheni kati yao Wanaume ni 143 na wanawake ni 22.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi mmoja wa Afisa wa Jeshi la Ulinzi Tanzania
wakati wa hafla ya kutoa Kamisheni kwa Maofisa wa Jeshi la hilo
waliohitimu Chuo cha Mafunzo kwa Maofisa wa Jeshi kilichopo Monduli
mkoani Arusha, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar
es Salaam leo. Takribani Maofisa 165 wamepewa Kamisheni kati yao
Wanaume ni 143 na wanawake ni 22. Katika wahitimu wa jumla walikuwa 180
ambapo 15 ni kutoka nchi jirani za Uganda(2), Burundi(5), Rwanda(3) na
Kenya(5).
Mkuu wa Chuo cha Maofisa wa Jeshi Monduli (TMA) Meja
Jenerali Paul Massao akitoa historia fupi ya Kozi ya kwa Maofisa wa
Jeshi waliotpewa Kamisheni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
leo Jijini Dar es Salaam. Takribani Maofisa 165 wamepewa Kamisheni kati
yao Wanaume ni 143 na wanawake ni 22.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na Baadhi ya Maofisa wapya wa Jeshi la Ulinzi Tanznia
mara baada ya kumalizika kwa zoezi la utoaji wa Kamisheni kwa Maofisa ha
oleo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Jenerali
Mstaafu Merisho Sarakikya, Takribani Maofisa 165 wamepewa Kamisheni
kati yao Wanaume ni 143 na wanawake ni 22. Picha zote na: Frank Shija & Eliphace Marwa - MAELEZO
EmoticonEmoticon