Baadhi ya wabunge na mawaziri
wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhuria kikao cha saba cha
mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9,
2016.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tulia Ackson akiongoza kikao cha saba cha
mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9,
2016.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi
na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali
kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la
11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.
Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na
Uvuvi Mhe. William Ole Nashi akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge
katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea
Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Mhe. Medard Kalemani akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika
kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini
Dodoma Novemba 9, 2016.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika
kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini
Dodoma Novemba 9, 2016.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.
Philip Mpango akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao
cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Novemba 9, 2016.
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa
Iringa Mhe. Dkt Christine Ishengoma akiuliza swali katika kikao cha
saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Novemba 9, 2016.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadilana jambo na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira na Watu wenye Ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge
la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (kulia) akijadilana jambo
na Wazirin wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene
katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea
Mjini Dodoma Novemba 9, 2016.
Picha zote na Idara ya Habari MAELEZO Dodoma.
EmoticonEmoticon