Rais Mteule wa Marekani, Donard
Trump akiwahutubia wananchi wa Marekani muda mfupi baada ya kutangazwa
mshindi wa kiti hicho, mapema leo. Trump anakuwa Rais wa 45 wa nchi hiyo
akitokea chama cha Republican. Kulia kwake ni aliekuwa mgombea mwenza
wake, Mike Pence na kushoto kwake ni Mtoto wake, Barron Trump.
Hali halisi inavyoonekana katika majimbo ambayo Donald Trump ameshinda
EmoticonEmoticon