Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga alipowasili kwenye ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam kwa minajili ya kuzungumza na Mabalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akingia kwenye ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam kwa minajili ya kuzungumza na Mabalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje
Sehemu ya makatibu wakuu na mabalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje wakiwa ukumbini
Sehemu ya mabalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje wakiwa ukumbini
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Venance Mabeyo (kati) na Bw. Alphayo Kidata, Kamishna Mkuu wa TRA (kulia) na maofisa wengine waandamizi wakiwa ukumbini
Sehemu ya mabalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje wakiwa ukumbini
Sehemu ya maofisa Ubalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje wakiwa ukumbini
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji TIC Bw. Cliford Tandari (kulia) na maofisa wengine ukumbini hapo
Sehemu ya maofisa Ubalozi wanaowakilisha Tanzania nchi za nje wakiwa ukumbini
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Itifaki Bw.. James Bwana akiwa na mabalozi wakurugenzi wa Idara mbalimbali Wizarani
Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Generali Wyjones Kisamba akisimama wakati mabalozi wakitambulishwa
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Mhe,Wilson M.Masilingi akitambulishwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe Angela Kairuki, Katibu mkuu wake Dkt. Laurian Ndumbaro, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad na viongozi wengine wakiwa ukumbini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Ponary Mlima akiwatambulisha mabalozi
Sehemu ya mabalozi hao
Wajumbe wa mkutano huo
Mabalozi
Wajumbe wa mkutano
Maofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa
Maofisa toka Sekretarieti ya Maadili,
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akisoma risala yake
Wajumbe wakifuatilia kwa makini
Waziri Mkuu Mhe Kasssim Majaliwa akiongea na wajumbe
Waziri Mkuu Mhe Kasssim Majaliwa akiongea na wajumbe
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na wajumbe
Sehemu ya Mabalozi ambao ni wakurugenzi wa Idara mbalimbali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wajumbe
Sehemu ya mabalozi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Mabalozi wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua jambo
Mabalozi wakinakiri kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Mabalozi wakinakiri kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Mabalozi wakinakili kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Mabalozi wakinakiri kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Kila mtu alikuwa makini wakat wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Kila mtu alikuwa makini wakat wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Kila mtu alikuwa makini wakat wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua jambo
Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akisimama baada ya kupongezwa na Rais Dkt. Magufuli kwa juhudi zake za kupatia makazi watumishi ubalozini
EmoticonEmoticon