Katibu
Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt leonard
Chamuriho,(katikati) akizungumza na waandishi wa habari, wakati
Tanzania ilipokuwa ikikabidhi bawa la ndege kwa serikali ya Malaysia,
linalodhaniwa kuwa la ndege ya Malayasia MH370, iliyopotea wakati
ikifanya safari kutoka malaysia kwenda China mwaka 2014. Mabaki ya bawa
hilo yaliokotwa na mvuvi katika pwani ya Pemba Chungua Hamad Chungua
(hayupo pochani)mwezi Juni 2016. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi
mwandamizi wa ajali za ndege , Wizara ya Uchukuzi Malayasia, Aslam
Basha Khan, Balozi wa Australia katika nchi za Afrika Mashariki, John
Feakes na Mkurugenzi Mkuu mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA)
Hamza Johari ,hafala hiyo ilifanyika Makao makuu ya TCAA Banana Ukonga
jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt leonard
Chamuriho,(katikati) akizungumza na waandishi wa habari, wakati
Tanzania ilipokuwa ikikabidhi bawa la ndege kwa serikali ya Malaysia,
linalodhaniwa kuwa la ndege ya Malayasia MH370, iliyopotea wakati
ikifanya safari kutoka malaysia kwenda China mwaka 2014. Mabaki ya bawa
hilo yaliokotwa na mvuvi katika pwani ya Pemba Chungua Hamad Chungua
(hayupo pochani)mwezi Juni 2016. Kutoka kushoto ni Balozi wa Australia
katika nchi za Afrika Mashariki, John Feakes na Mkurugenzi Mkuu mamlaka
ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari ,hafala hiyo ilifanyika
Makao makuu ya TCAA Banana Ukonga jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt leonard
Chamuriho,(katikati) akimsikiliza kwa makini Balozi wa Australia katika
nchi za Afrika Mashariki, John Feakes (Kushoto)akizungumza na
waandishi wa habari, aikiishukuru serikali ya Tanzania wakati
ilipokuwa ikikabidhi bawa la ndege kwa serikali ya Malaysia,
linalodhaniwa kuwa la ndege ya Malayasia MH370, iliyopotea wakati
ikifanya safari kutoka malaysia kwenda China mwaka 2014. Mabaki ya bawa
hilo yaliokotwa na mvuvi katika pwani ya Pemba Chungua Hamad Chungua
(hayupo pochani)mwezi Juni 2016. Kutoka kushoto ni Balozi wa Australia
katika nchi za Afrika Mashariki, John Feakes na Mkurugenzi Mkuu mamlaka
ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari ,hafala hiyo ilifanyika
Makao makuu ya TCAA Banana Ukonga jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt leonard
Chamuriho,(wapili kulia) na Mkurugenzi Mkuu mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania(TCAA) Hamza Johari ,pamoja na Balozi wa Australia katika nchi
za Afrika Mashariki, John Feakes (wapili kushoto) wakimsikiliza kwa
makini Mkurugenzi mwandamizi wa ajali za ndege wa Wizara ya Uchukuzi
Malayasia, Aslam Basha Khan, wakati akizungumza na waandishi wa
habari,(hawapo pichani) wakati serikali ya Tanzania ilipokuwa
ikikabidhi bawa la ndege kwa serikali ya Malaysia, linalodhaniwa kuwa
la ndege ya Malayasia MH370, iliyopotea wakati ikifanya safari kutoka
malaysia kwenda China mwaka 2014. Mabaki ya bawa hilo yaliokotwa na
mvuvi katika pwani ya Pemba Chungua Hamad Chungua (hayupo
pochani)mwezi Juni 2016. Hafala hiyo ilifanyika Makao makuu ya TCAA
Banana Ukonga jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt leonard
Chamuriho,(kulia) akishuhudia Mkurugenzi Mkuu mamlaka ya Usafiri wa
Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari akisaini hati ya makabidhiano ya
mabaki ya bawa la ndege wakati serikali ya Tanzania ilipokuwa
ikikabidhi bawa hilo kwa serikali ya Malaysia, linalodhaniwa kuwa la
ndege ya Malayasia MH370, iliyopotea wakati ikifanya safari kutoka
malaysia kwenda China mwaka 2014. Mabaki ya bawa hilo yaliokotwa na
mvuvi katika pwani ya Pemba Chungua Hamad Chungua (hayupo
pochani)mwezi Juni 2016. Katika hafala hiyo ilifanyika Makao makuu ya
TCAA Banana Ukonga jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwanasheria wa
Mamlaka na Katibu wa Bodi ya wakurugenzi wa TCAA,Vallery Chamulungu.
Katibu
Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt leonard
Chamuriho,( wapil kulia) na Mkurugenzi Mkuu mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania(TCAA) Hamza Johari (kulia) wakifuatilia kwa mdhamini wakati
Balozi wa Australia katika nchi za Afrika Mashariki, John Feakes
(kushoto) akisaini hati ya makabidhiano ya mabaki ya bawa la ndege ,
wakati serikali ya Tanzania ilipokuwa ikikabidhi bawa hilo kwa
serikali ya Malaysia, linalodhaniwa kuwa la ndege ya Malayasia MH370,
iliyopotea wakati ikifanya safari kutoka malaysia kwenda China mwaka
2014. Mabaki ya bawa hilo yaliokotwa na mvuvi katika pwani ya Pemba
Chungua Hamad Chungua (hayupo pochani)mwezi Juni 2016. Katika hafala
hiyo ilifanyika Makao makuu ya TCAA Banana Ukonga jijini Dar es
Salaam.aliyesimama ni Mwanasheria wa Mamlaka na Katibu wa Bodi ya
wakurugenzi wa TCAA,Vallery Chamulungu.
Katibu
Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt leonard
Chamuriho,( wanne kulia) Mkurugenzi Mkuu mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania(TCAA) Hamza Johari (watano kulia) Balozi wa Australia katika
nchi za Afrika Mashariki, John Feakes (watatu kushoto), Mkurugenzi
mwandamizi wa ajali za ndege , Wizara ya Uchukuzi Malayasia, Aslam
Basha Khan, (wapili Kushoto) , Mwanasheria wa Mamlaka na Katibu wa Bodi
yawakurugenzi wa TCAA,Vallery Chamulungu.(kushoto) pamoja na maafisa wa
kitengo cha ukaguzi wa ajari za ndege Wizara ujenzi , Uchukuzi na
mawasiliano wakikabidhiana mabaki ya bawa la ndege , linalodhaniwa kuwa
la ndege ya Malayasia MH370, iliyopotea wakati ikifanya safari kutoka
malaysia kwenda China mwaka 2014. Mabaki ya bawa hilo yaliokotwa na
mvuvi katika pwani ya Pemba Chungua Hamad Chungua (hayupo
pochani)mwezi Juni 2016. Katika hafala hiyo ilifanyika Makao makuu ya
TCAA Banana Ukonga jijini Dar es Salaalam.
Mkurugenzi
mwandamizi wa ajali za ndege , Wizara ya Uchukuzi Malayasia, Basha
Khan,(kushoto waliochuchuma ) na Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt leonard Chamuriho,wakikagua mabaki ya bawa
la ndege, wakati serikali ya Tanzania ilipokuwa ikikabidhi bawa hilo
kwa serikali ya Malaysia, linalodhaniwa kuwa la ndege ya Malayasia
MH370, iliyopotea wakati ikifanya safari kutoka malaysia kwenda China
mwaka 2014. Mabaki ya bawa hilo yaliokotwa na mvuvi katika pwani ya
Pemba Chungua Hamad Chungua (hayupo pochani)mwezi Juni 2016. ,hafala
hiyo ilifanyika Makao makuu ya TCAA Banana Ukonga jijini Dar es
Salaam.wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu mamlaka ya Usafiri
wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari na Balozi wa Australia katika nchi
za Afrika Mashariki, John Feakes.
Mkurugenzi
Mkuu mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari (kulia )
akisaidiana na wafanyakazi wa DHL kuingiza mabaki ya bawa la ndege
tayari kuelekea nchini Malaysia kwa uchunguzi zaidi mara baada ya
serikali ya Tanzania kulikabidhi bawa hilo kwa serikali ya Malaysia,
linalodhaniwa kuwa la ndege ya Malayasia MH370, iliyopotea wakati
ikifanya safari kutoka malaysia kwenda China mwaka 2014. Mabaki ya bawa
hilo yaliokotwa na mvuvi katika pwani ya Pemba Chungua Hamad Chungua
(hayupo pochani)mwezi Juni 2016. ,hafala hiyo ilifanyika Makao makuu
ya TCAA Banana Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari (wapili
kushoto ) akitoa maelekezo kwa wafanyakazi wa DHL jinsi ya kuingiza
mabaki ya bawa la ndege tayari kuelekea nchini Malaysia kwa uchunguzi
zaidi mara baada ya serikali ya Tanzania kulikabidhi bawa hilo kwa
serikali ya Malaysia, linalodhaniwa kuwa la ndege ya Malayasia MH370,
iliyopotea wakati ikifanya safari kutoka malaysia kwenda China mwaka
2014. Mabaki ya bawa hilo yaliokotwa na mvuvi katika pwani ya Pemba
Chungua Hamad Chungua (hayupo pochani)mwezi Juni 2016. ,hafala hiyo
ilifanyika Makao makuu ya TCAA Banana Ukonga jijini Dar es Salaam.
EmoticonEmoticon