Waziri
wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye akiwa katika
Operesheni ya kuwasaka waharamia wanaodurufu kazi za wasanii mbalimbali
nchini, hali inayopelekea wasanii hao kazi zao kuzorota. Waziri Nape leo
ameianza Operesheni hiyo kwa kutembelea Maduka mbalimbali yaliopo eneo
la Kariakoo, Jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye akisimamia zoezi
la ukusanyaji wa kazi zilizodurufiwa na wafanyabiashara hao katika moja
ya Maduka yaliopo eneo la Kariakoo, Jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye akimsiliza mmoja
wa watuhumiwa wa kudurufu kazi za wasanii, aliekuwa na mitambo ya
kufanyia kazi hizo.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye akizungumza na
baadhi ya wafanyabiashara wa Kariakoo wakati wa Operesheni ya kuwasaka
wanaodurufu kazi za wasanii mbalimbali nchini.
EmoticonEmoticon