Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akiwa
katika picha ya pamoja na Maraki wa Tanzania Girl Guides waliohudhuria
katika sherehe ya kuwapokea washiriki wa Mradi wa YESS-Girl Guides
iliyofanyika katika hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.
Mabinti
walioshiriki Mradi wa Matembezi ya YESS- Girls hapa nchini wapili kulia
ni Lydia Omondi kutoka Kenya, Florence Kwizera kutoka Burundi na
Avengiline Du Toit kutoka Afrika kusini wakiwa na Girl Guide wa Tanzania
wakitoa burudani katika sherehe ya kuwapokea washiriki wa Mradi wa
YESS-irl Guide jijini Dar es Salaam.
Mabinti walioshiriki Mradi wa Matembezi ya YESS- Girls wakiwa katika picha ya Pamoja.
Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako
akimkabidhi Binti Rose Ipyana Mwambete aliyewakilisha TanzaniaGirl Guide
katika mradi wa YESS-Girls Movement 2016 huko Rwanda wakati wa sherehe
iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako
akimkabidhi cheti Happyness Mshana aliyewakilisha Tanzania huko
Madagaska katika Mradi wa YESS-Girls Movement.
Baadhi ya washiriki wakipokea vyeti katika sherehe iliyofanyika katika Hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.
EmoticonEmoticon