Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akitoa maelekezo kwa
wasimamizi wa kituo kipya cha kupokelea simu za dharura (CallCentre)
wakati alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho
ambacho kitazinduliwa hivi karibuni ikiwa ni hatua mojawapo ya
utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha usalama wa Jamii, unaotekelezwa na
Jeshi la Polisi kwakushirikiana na Ofisi ya Rais, ufuatiliaji wa
utekelezaji wa miradi(PDB) katika mkoa wa Kipolisi Kinondoni ambapo
kupitia kituo hicho wananchi wataweza kuripoti matukio na kupokelewa
mapema tofauti na ilivyo hivi sasa.

Askari
Polisi wakiwa katika mafunzo maalumu ya kupokea simu katika kituo kipya
cha kupokelea simu za dharura (CallCentre) ambacho kitazinduliwa hivi
karibuni ikiwa ni hatua mojawapo ya utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha
usalama wa Jamii, unaotekelezwa na Jeshi la Polisi kwakushirikiana na
Ofisi ya Rais, ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi(PDB) katika mkoa wa
Kipolisi Kinondoni ambapo kupitia kituo hicho wananchi wataweza
kuripoti matukio na kupokelewa mapema tofauti na ilivyo hivi sasa.
(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
EmoticonEmoticon