Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira (kushoto), akisalimiana na maofisa wa vyombo vya ulinzi na
usalama, mara baada ya kuwasili katika kituo cha Uhamiaji
Horohoro,wilayani Mkinga mpakani mwa Kenya na Tanzania, barabara kuu ya
Mombasa-Tanga.Katibu Mkuu yuko jijini Tanga kwa ziara ya kikazi ikiwa na
lengo la kukagua na kudhibiti njia zinazotumiwa na wahamiaji haramu
kuingia nchini.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira, akiweka saini katika kitabu cha wageni, mara baada ya
kuwasili katika kituo cha Uhamiaji Horohoro, wilayani Mkinga mpakani mwa
Kenya na Tanzania, barabara kuu ya Mombasa-Tanga.Katibu Mkuu yuko
jijini Tanga kwa ziara ya kikazi ikiwa na lengo la kukagua na kudhibiti
njia zinazotumiwa na wahamiaji haramu kuingia nchini.
Mkuu wa Kituo cha Uhamiaji Horohoro, DCI Deogratius Magoma,
akimuelekeza jamboKatibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja
Jenerali Projest Rwegasira mara baada ya ukaguzi wa ofisi za jengo la
kituo hicho zinazotumika katika utoaji huduma za uingiaji na utokaji wa
raia wa kigeni na raia wa Tanzania wanaopitia mpaka wa horohoro ,
wilayani Mkinga, jijini Tanga. Katibu Mkuu yuko jijini Tanga kwa ziara
ya kikazi.
Afisa Uhamiaji Mkoa wa Tanga,DCI Andrew Kalengo, akimuelekeza jambo
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira,mara baada ya kutembelea daraja la Mwakijembe, linalotumiwa na
wakazi wa nchi za Tanzania na Kenya. Katibu Mkuu yuko jijini Tanga kwa
ziara ya kikazi.
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira
(aliyevaa kiraia), akifafanua jambo kwa viongozi wa Idara ya Uhamiaji
Wilayani Nkinga, mara baada ya kutembelea jiwe linaloonyesha mpaka kati
ya Tanzania na Kenya katika kijiji cha Jasini kilichopo Kaunti ya Kwale.
Katibu Mkuu yuko jijini Tanga kwa ziara ya kikazi ikiwa na lengo la
kukagua na kudhibiti njia zinazotumiwa na wahamiaji haramu kuingia
nchini.
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira(kushoto), akionyeshwa namba za jiwe la mpaka unaotenganisha
nchi za Kenya na Tanzania mara baada ya kutembelea kituo cha Uhamiaji
Horohoro. Katibu Mkuu yuko jijini Tanga kwa ziara ya kikazi ikiwa na
lengo la kukagua na kudhibiti njia zinazotumiwa na wahamiaji haramu
kuingia nchini.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
EmoticonEmoticon