Vijana nchini watakiwa kuwa makini katika kupambana na Ukimwi.

May 20, 2016


uk1 
Mkurugenzi Idara ya maendeleo ya vijana, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Vijana na Ajira, James Kajugusi akifunga rasmi mkutano wa mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016.
uk2Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania, Dkt. Fatma Mrisho, akitoa neno la hitimisho na kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa kufunga mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016.
uk3 
Afisa Uraghibishi na Habari wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania, akisoma tamko kwa niaba ya vijana, wakati wa kufunga mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016.
uk4 
Wadau wa shughuli za UKIMWI kwa vijana, wakiwa kwenye mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016.
uk5 
Baadhi ya waratibu wa afya za UKIMWI nchini, wakifuatilia mada wakati wa kufunga mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016.
uk6 
Mmoja kati ya washiriki wa mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana akikabidhiwa cheti cha ushiriki na mgeni rasmi James Kajugusi wakati wa kufunga rasmi mkutano huo May, 2016.
uk7 
Mmoja kati ya washiriki wa mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana Jaqueline Maeda akikabidhiwa cheti cha ushiriki na mgeni rasmi James Kajugusi wakati wa kufunga rasmi mkutano huo May, 2016.
uk8 
Baadhi ya washiriki walio kabidhiwa vyeti vya ushiriki wakati wa mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana, wakiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi James Kajugusi wakati wa kufunga rasmi mkutano huo. May, 2016.
Picha kwa hisani ya TACAIDS

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »