Afisa Uchechemuzi wa Shirika la
Wanasheria wanawake la TAWLA Bi. Sime Bateyunga akifungua mafunzo kwa
wanahabari hawapo pichani yanayolenga kujenga uelewa kwa waandishi wa
habari kuhusiana na masuala ya haki ya afya ya uzazi Changamoto
wanazokutana nazo na namna ambavyo matumizi ya sheria za kimataifa kama
Maputo Protocal yataweza kupunguza Chanagamoto hizo, Semina hiyo ya
siku mbili ilikuwa ikifanyika Luther House Azania Front jijini Dar es
salaam na imemalizika leo.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES
SALAAM)
Wanahabari wakimsikiliza Afisa
Uchechemuzi wa Shirika la Wanasheria wanawake la TAWLA Bi. Sime
Bateyunga wakati akifungua semina hiyo jana.
Goodness Mrema Afisa habari na mawasiliano TAWLA akiwa katika semina hiyo.
Dk. Ali Said kutoka muhimbi akiwasilisha mada katika mafunzo hayo kuhusu utoaji miba usio salama na madhara yake.
Goodness Mrema Afisa habari na mawasiliano TAWLA akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa semina hiyo leo.
Afisa Mipango wa TAWLA Bi. Sara
Kinyaga kulia akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuendesha
mafunzo hayo kwa waandishi wa habari leo.
Maofisa wa TAWLA pamoja na
waandishi wa habari wakiwa katika picha ya pamoja nmara baada ya
kumalizika kwa semina hiyo leo jijini Dar es salaam.