NAIBU WAZIRI ANASTAZIA WAMBURA AFUNGUA MAONYESHO YA SABA YA BIDHAA ZA HARUSI

March 11, 2016

ana1
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akimkabidhi Cheti cha ushiriki Bw.Erasto Mike wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya saba ya bidhaa za harusi leo  jijini Dar es Salaam.
anna2
Mhe. Anastazia Wambura Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiangalia bidhaa kutoka kwa mjasiriamali Bi Helen-Lukundo Chonjo( Kulia) wakati alipokuwa akifungua maonyesho ya saba ya bidhaa za Harusi.Katikati ni mbunifu wa mavazi Bw. Mustafa Asanali.
anna3
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akipokea maelekezo kuhusu jarida la Bidhaa za Harusi kutoka kwa mbunifu Mustafa Asanali kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi Leah Kihimbi.
anna4
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Anastazia Wambura akisikiliza ufafanuzi  kuhusu bidhaa za harusi zinazotengenezwa hapa nchini kutoka kwa Bi Dianna Kaijage wakati alipofungua maonyesho  ya saba ya bidhaa hizo leo  jijini Dar es Salaam.
anna5
Bi Sakina Kubino akimuonyesha Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura baadhi ya urembo unaovaliwa katika Sherehe za harusi   wakati alipofungua  maonyesho ya bidhaa hizo leo jijini Dar es Salaam.
anna6
Mbunifu wa mavazi Bw. Mustafa Asanali akimkaribisha Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika maonyesho ya saba ya bidhaa za harusi yanayofanika katika ukumbi wa St Peters jijini Dar es Salaam

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »