Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Gerson Lwenge
(katikati) akiongozana na Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Maji taka na
Maji safi Dar es Salaam (DAWASCO) , Meja General (mstaafu), Samuel
Kitundu (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco, Cyprian Luhemeja ,
wakati Waziri huyo alipoitembelea Dawasco jana na kisha kutangaza
watumishi tisa ambao ameiagiza bodi kuwasimamisha kazi kupisha uchunguzi
dhidi yao kufuatia tuhuma mbalimbali. Mhandisi Lwenge alitembelea leo.
WATUMISHI AMBAO WAZIRI AMEAGIZA BODI IWASIMAMISHE KAZI NI:-
Meneja Rasilimali Watu,
Mvano Mandawa, Meneja Ufuatiliaji na Tathmini, Reinary Kapera, Teresia Mlengu,
Emmanuel Guluba, Peter Chacha, Fred Mapunda, Reginald Kessy, Jumanne Ngelela na
Bernard Nkenda.
Aidha Waziri Lwenge aliagiza pia kuchunguzwa kwa CEO wa zamani Jackson Midala.
Miongoni
mwa tuhuma zao ni pamoja na kufanya maunganisho ya maji yasiyofuata
utaratibu kwa kampuni ya STRABAG inayotekeleza mradi wa mabasi yaendayo
kasi na kusababisha kulikosesha shirika mapato yenye thamani ya sh
Bilioni 2.8 (2,887,577,134/=).
Mameneja wa Dawasco wakiwa katika mkutano
huo.Baadhi yao walisimamisha kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazo wakabili.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj.
Gerson Lwenge (kulia) akizungumza na bodi pamoja na
menejimenti ya Shirika la Maji taka na Maji safi Dar es Salaam (DAWASCO) wakati
Waziri huyo alipotembelea makao makuu ya shirika hilo Dar es Salaam jana na
kuiagiza bodi kusimamisha kazi watumishi tisa.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj.
Gerson Lwenge (aliyesimama) akizungumza na bodi pamoja na
menejimenti ya Shirika la Maji taka na Maji safi Dar es Salaam (DAWASCO) wakati
Waziri huyo alipotembelea makao makuu ya shirika hilo Dar es Salaam jana na
kuiagiza bodi kusimamisha kazi watumishi tisa. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj.
Gerson Lwenge (aliyesimama) akizungumza na bodi pamoja na
menejimenti ya Shirika la Maji taka na Maji safi Dar es Salaam (DAWASCO) wakati
Waziri huyo alipotembelea makao makuu ya shirika hilo Dar es Salaam jana na
kuiagiza bodi kusimamisha kazi watumishi tisa.
Mameneja wa Dawasco wakiwa katika mkutano huo.
Mmoja wa mamena wa Dawasco akichukua dondoo za yake yaliyosema na Waziri Lwenge
Mameneja wa Dawasco wakiwa katika mkutano huo.
Mameneja wa Dawasco wakiwa katika mkutano huo.
Mwenyekiti
wa bodi ya Dawasco, Meja General (Mstaa) Samuel Kitundu (wapili
kushoto) na baadhi ya wajumbe wa bodi wakitoka katiia mkutano huo.
Ambapo pamoja na mambo mengine pia Waziri Lwenge aliiagiza bodi hiyo
kuchunguza kampuni zote kubwa jijini Dar es Salaam kama zinalipia huduma
ya maji.
Mameneja wakitoka katika mkutano huo.